Bao Bao (Mabao) Promo
Sahau kuhusu matokeo ya kawaida, shinda zaidi kwa kila timu zako inapofunga goli!
Maelezo
Hii ni bashiri ya timu zote kufungana iliyoongezwa machaguo Zaidi.
Chagua timu kuanzia 3 - 15 za ligi yoyote, mechi zitapangwa kulingana na muda wa mechi kuanza. Odds zianzie 1.45 kwenda juu kila mechi.
Weka mkeka wako kwa mechi ambazo zitafungana magoli.
Kila timu lazima ifunge angalau goli 1 ili mkeka ushinde.
Pata timu zako zote 3, ushinde mara 4 ya dau lako!
Pata timu zako zote 4 ushinde mara 6.5 ya dau lako!
Pata timu zako zote 5 ushinde mara 11 ya dau lako!
Pata timu zako zote 6 ushinde mara 17 ya dau lako!
Pata timu zako zote 7 ushinde mala 29 ya dau lako!
Pata timu zako 8 ushinde mara 45 ya dau lako!
Pata timu zako zote 9 ushinde mara 70 ya dau lako!
Pata timu zako zote 10 ushinde mara 120 ya dau lako!
Pata timu zako zote 11 ushinde mara 200 ya dau lako!
Pata timu zako zote 12 ushinde mara 300 ya dau lako!
Pata timu zako zote 13 ushinde mara 500 ya dau lako !
Pata timu zako zote 14 ushinde mara 800 ya dau lako!
Pata timu zako 15 ushinde mara 1350 ya dau lako!
Jinsi ya kucheza
Bonyeza kwenye kila box la mechi kuonyesha mechi ulizozichagua .
Mabao bet kwa sasa haipo kwenye SMS/USSD.
Upatikanaji wa mechi
Mechi zilizopo kwenye mabao bet ni mechi zenye point kuanzia 1.45 kwa timu kufungana.
Mechi hazibadiliki moja kwa moja ni lazima mteja a-refresh ukurasa.
Matokeo
Kama mteja atabashiri mechi 3,akapata 2 sahihi na moja kubatilishwa/kufutwa/kuahilishwa/, tutamrudishia dau lake.
Kama mteja atacheza mechi tatu, apate moja sahihi, moja akose na moja kubatilishwa/kufutwa/kuahilishwa, mkeka utakua umekosa kwa sababu ya kukosa mechi moja. Hii itafanya kazi kwa beti zote mabao bet.
Kama mteja atacheza mechi nne , akapata timu tatu na moja kubatilishwa/kufutwa/kuahilishwa, mteja atalipwa kwa mechi 3. Hii itafanya kazi kwa mabao bet zote.
Odds za mabao bet itakua yoyote ambayo ni kikubwa, kati ya Odds ya mabao bet na Odds za timu kufungana. .